Tuesday, April 01, 2008

DULLY KUKAMUA NCHI ZA SCANDNAVIA SOON!!!


Kama kawaida yake ni yuleyuleee mzee wa Misifa a.k.a Dully Sykes kama anavyojulikana kwa sana washabiki wake...na habari zilizoifikia blog hii ni kwamba kijana huyu mtoto wa ilala,hivi karibuni atapiga tour ya ki muziki katika nchi za Scandinavia kama Norway,Denmark na Finland.Mualiko huo unakuja baada ya kufanya mambo makubwa kwenye tour yake ya Uholanzi mwaka jana...BIG UP DULLY

No comments: