Tuesday, April 08, 2008

BIG UP DAZ BABA NAKUAMINI LAKINI.....

Hey blog fans,nimepata habari toka katika chanzo changu kuwa Daz baba alitaka kumpiga swahiba wake wa zamani wa kundi la Daz Nundaz Family Feroos katika uzinduzi wa Prof Jay ijumaa iliyopita,kisa ni Feroos kuimba baadhi ya mistari ya wimbo wa Nipe 5...Kwangu mimi naweza kusema kuwa Da Baba ana hai ya kudai hilo lakini pia kwa mustakabali wa muziki wetu ni tatizo kubwa sana,Daz big up kwa kazi nzuri ya Nipe 5 lakini kumbuka na Feroos ana nguvu yake katika wimbo huo mpaka ukapata chati kubwa...ni jambo la wazi kabisa kutazama na kuona kuwa uhasama huu unaingia katika upande tofauti zaidi ya uhasama wa kisanaa zaidi,huu ugomvi unapaswa kuchungwa na kuhakikisha kuwa juhudi zinafanyika katika kusaidia kuwapatanisha hawa vijana ili wapenzi wa muziki waweze kupata burudani za Daz Nundaz Family tena....Makundi yote ya ukweli yanaungana duniani na kufanya mambo ya maana,jana nimetumiwa email toka states kuwa wale vijana waliokonga nyoyo za vijana enzi za late 80's and 90's Kundi la New Kids on the Block wanarudi tena baada ya kutengana kwa miaka 14...Iwe kundi la Daz Nundaz Family...Kaeni chini mfanye mambo ya msingi than conflicts ambazo hazimsaidii yeyote...FORGET ALL AND UNITE TO MAKE AGAIN DAZ NUNDAZ FAMILY

No comments: