
Kutoka kulia Lead singers ni Banana Zorro (mwenye miwani),akifuatiwa na Esmail na wa mwisho ni Nuruelly wakitoa burudani,Bendi hii ni mija kati ya bendi mpya bora zinazotoa burudani kali kwa wapenzi wa muziki hapa Tanzania,hivi karibuni wametoa video ya single yao nayoitwa 'Nzeila' ambayo inabamba sana katika vituo vingi vya Televisheni hapa Tanzania.
BIG UP B-BAND
1 comment:
Zhane!
you are sooooo luck womam,look at what my bro Eddy has said!!!! so please change the word(fiancee)into hasby as soon as possible.big up Zhane and god bless ya"
Post a Comment