Saturday, April 26, 2008

AIBU YETU AIBU YAOOO.....

Richie One akifanya makamuzi ya kufa mtu kuendeleza mchaka mchaka wa Tatu bila mikoani akiwa na kundi lake la The Wanaume halisi...hii ilikuwa uwanja wa Jamhuri Morogoro...Ni kama Richie One anawauliza washabiki aibu yetu aibu yaoooo....aibu yao wenyewe Tatu bila hapa!!!

No comments: