Thursday, March 27, 2008

WHERE R U @ MARIA aka BLU

Anaitwa Maria Kingunge aka BLU,alikuwa ni mmoja wa mapresenter wa kwanza wa kike katika kituo cha tv cha Channel 5 ...its being awhile kimya,Umepotelea wapi mamaaa people miss u so much...come out to the light n show us ya skills!!!

No comments: