Huyu ni Joti aka Miss Kindeki aka Mzee wa Mambo yaleeee!!! Ebwana huyu jamaa ana kipaji cha pekee na ni the comedian wa ukweli.Nakuheshimu sana mwanangu Joti. Big up seki for making good products in The Comedy!!!
Simple,fun likes likes friends who are real,no time for beefs...Napenda sana muziki na kupenda sana kucheza na watoto hasa watoto yatima so that they can feel that the society loves them...Pamoja we can make some changes,So i invite you all to enjoy all in this hottest blog.
No comments:
Post a Comment