Sunday, March 30, 2008

WANAUME HALISI MAZOEZINI JANA!!!

Unamkumbuka Daz P memba wa zamani wa Manduli mobb ni huyo hapo kulia mazoezini jana.
Majadiliano mazoezini jana
Duu Luteni Karama aka Master akionesha ma Taichi wa Kichina jana mazoezini.
Hapo je unaonaje ni noma!!!

1 comment:

lefobserver said...

PLEASE
CAN YOU ENTER IN MY BLOG IN ORDER TO TAKE THE FLAG OF YOUR COUNTRY AND IT IS WRITTEN IN MY MAP OF VISITORS?
THANK YOU
lefobserver.blogspot.com