Saturday, March 29, 2008

TMK WANAUME HALISI MAZOEZINI NI NOMAAAAA!!!

Hiki kibanda kipo mbele ya maskani ya Wanaume Halisi...Kinawakilisha Wanaume Halisi aka Wazawa wa Temeke...
Hii ni picha inayoongeza mizuka ya mazoezi kambini Wanaume Halisi...yaani Tatu bila...Eti Dar mpaka....
Kb pembeni akiwaangalia Baba Revo,Mzimu wakikamua na ma kung fu flexxx mazoezini jana Temeke...
Mzimu akifanya mzaha na Kichwa kipya cha Wanaume Halisi Baba Revo kutoka K-Town Crew mazoezini jana Temeke,wa nyuma ni Rich One
Vinara wa Kundi la Wanaume Halisi kutoka kushoto Kb ,wa kati Rich One na kulia ni Sir Nature wakiwa mazoezini jana Temeke.
Weweeee hatari Baba Revo wa kwanza,kati Dollo na mwisho Luteni Karama mazoezini jana....Kung Fu Flex plus Tatu bila Nomaa!!!
Kifaa kipya cha Wanaume Halisi Revocatus aka Baba Revo ambaye alikuwa kundi ka K-town la kigoma akiwa mazoezini jana ili aweze kucheza ma kung fu flexxx ki uhakika ili matokeo yawe Tatu Bila(3-0)...Nomaaaa!!!
Dollo akimaanisha matokeo ni Tatu bila,hii ilikuwa jana mazoezini nilipowatembelea jana baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Shemeji yangu Juma Nature....mwanangu mazoezi ni ya kufa mtu hayo ma kung fu flex ucpime hatari!!!
Wanaume Halisi wakiwa mazoezini jana kambini kwao Temeke.
Kiongozi wa TMK Wanaume Halisi Sir Juma Nature aka Kibra akimwonyesha ma technics za kichina Swahiba wake Luteni karama jana mazoezini Temeke...Ucipime kabisa mzuka mwingi!!!Haina mapanga yaani Tatu Bila(3-0).
D'chief aka Dotto akiwa mazoezini jana kambini kwao TMK huku akiangaliwa kwa karibu na Inspecta Haruni aka Babu...Hayo ni ma Kung fu Flex Nomaaaaa!!!


No comments: