
Arusha mji wa kitalii Tanzania...Jengo hili nililiona nilipotembelea Arusha mwezi wa pili,ki ukweli ni jengo la kisasa na zuri sana,hii ni Benki ya Diamond Trust bank Tawi la Arusha,haya ni majengo yanayofanya mji wa Arusha kukua siku hadi siku!!!Big up Arusha Investors
No comments:
Post a Comment