Wednesday, March 26, 2008

JAY MO AKA MAWAZO AKA MO TECHNICS!!!

Ni Juma Mohamed Mchopanga aka Jay Mo aka Mo Tech ni mmoja kati ya vinara na manguli wa muziki huu wa Hip Hop hapa bongo,but Kwangu mimi ni msanii mkali na mwenye kuandika nyimbo kali lakini hana zali na sanaa hii,wanapata sifa wasanii feki lakini wasanii wa ukweli kamahawa hawapati soko....Kwanini???why????

No comments: