Wednesday, March 05, 2008

DYNAMIC ENTERTAINMENT & DUKE TACHEZ YAJA NA MAPINDUZI MAPYA!!!


Hey my blog fans!!!
Its my believes that ya guys are doin great and kama kawa tunasukuma gurudumu letu la kibongo besides The Richmonds and BOT sagas,hayo ni mambo ya siasa za bongo yanakuja na kupoea kama single za wasanii wetu wa Ubongo wa flava kama asemavyo mwanawane Masanja Mkandaminzaji wa Shinyanga vijijini....Nway sio ishu thas is Politics kama alivyogusia My best female Artist in Bongo Naakaya Sumari aka Solja gal....

Dynamic Group Entertainment"Kampuni ya kitanzania inayohusika na uendelezaji vipaji na masoko kwa kushirikiana na produza anayekuja kwa kasi na mwenye vionjo vya kimataifa Duke Tachez wanakuja na nguvu zote katika soko la utengenezaji muziki hapa Tanzania.Ni ndoto yetu pamoja ya miaka mingi kufanya mapinduzi makubwa katika muziki wetu,Muziki wetu kwa muda mrefu umekuwa unapotea sana sokoni kwasababu maproduza wengi hawana "touch" na wanashindwa kuumiza vichwa na kutengeneza muziki ambao utaweza kubaki sokoni muda mrefu na kupata soko zuri...Duke Tachez ana historia ya kufanya kazi na wasanii wakubwa hapa Bongo,hivi sasa single mpya inayotamba kwenye vituo vya television ya msanii Fid Q inayoitwa "Sauti za mitaani" ni moja ya kazi za Duke Tachez.Mengi yatafuatia na makubwa sana yote ni katika kusaidia muziki wetu wa kitanzania kufikia next level na kuwapa wapenzi ladha nzuri za muziki na wala sio kucopy na ku paste....

Stay tuned and look around to hear new products from Dynamic Group Entertainment in collaboration with Duke Tachez soooon!!!

Much love.

No comments: