VODACOM WASHEREKEA SIKU YA MTOTO WA AFRICA PALE CHAKUWAMA- SINZA
Mdau akitoa shukrani kwa watoto wa chakuwama.... Wadau wa Vodacom wakiwa wamepozi jana kituoni Chakuwama.... Mmoja kati ya watoto wa Chakuwama akipozi kwa picha jana mchana. Pichani ni mdau wa blog hii pamoja na mtoto mrembo wa pale Chakuwama jana...it was full of fun. Watoto wakifurahia mambo ya vodacom jana pale kituoni....
Simple,fun likes likes friends who are real,no time for beefs...Napenda sana muziki na kupenda sana kucheza na watoto hasa watoto yatima so that they can feel that the society loves them...Pamoja we can make some changes,So i invite you all to enjoy all in this hottest blog.
No comments:
Post a Comment