Mikonoz wadau.... nikiwa na marafiki zangu watoto wa chakuwama jana mchana. Mdau Melinda wa Vodacom akiwa kituoni Chakuwama jana kusherekea siku ya mtoto wa Africa na yatima wa pale kituoni. Wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate solutions wakiwa pamoja na baadhi ya watoto wa Chakuwama jana katika kusherekea siku ya mtoto wa Africa. Mdau wa blog hii akiwa na Mohd karambo na dada Somoe wakipata chakula jamvini jana...kitu cha pilau na soda kangaaaaaa!!!! Mdau kutoka Vodacom Mohd Karambo akijiandaa kuondoka baada ya kula chakula na watoto wa chakuwama pale Sinza jana Watoto wakila chakula kilichoandaliwa na wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate Solutions Wadau wa Vodacom wakipakua chakula jana mchana,pichani Mohd karambo na mdau Simon martin watoto wazuri wa chakuwama sinza mdau wa blog hii akiwa na watoto wa Chakuwama jana hii ilikuwa ni kusherekea siku ya mtoto wa Africa. watoto wazuri wa Chakuwama jana mchana kwenye maazimisho ya siku ya mtoto wa Africa.
1 comment:
Anonymous
said...
Samahani wadau, Hii CHAKUWAMA ndiyo ile ya Sinza Mori ambayo marehemu Amina Chifupa alijitolea kusomesha baadhi ya watoto?
Simple,fun likes likes friends who are real,no time for beefs...Napenda sana muziki na kupenda sana kucheza na watoto hasa watoto yatima so that they can feel that the society loves them...Pamoja we can make some changes,So i invite you all to enjoy all in this hottest blog.
1 comment:
Samahani wadau, Hii CHAKUWAMA ndiyo ile ya Sinza Mori ambayo marehemu Amina Chifupa alijitolea kusomesha baadhi ya watoto?
Post a Comment