Tuesday, May 18, 2010

JARIDA BORA LA MICHEZO NUMBER 10....LIPO MTAANI

Hebu pata nakala yako uweze kuona mambo yanayojiri kwenye soka letu hapa Bongo na duniani...


Pia pata makala yangu kwenye number 10 inayozungumzia " Tatizo la viongozi wetu kutowathamini wachezaji wetu kunavyoua soka letu hapa bongo" makala hiyo utaipata  ukurasa wa 89.
kila la kheri wadau.No comments: