Thursday, May 20, 2010

THE BREAKING NEWZ....NGASA ASAINI AZAM FC


 HABARI ZILIZOIFIKIA BLOG HII MIDA HII NI KUWA MSHAMBULIAJI MAHIRI WA KLAUU YA YANGA SC MRISHO KHALFAN NGASSA AMESAINI FOMU ZA MIKATABA ZA KUJIUNGA NA KLABU YA AZAM SC KWA MILIONI 56  UHAMISHO HUU  UMEVUNJA  REKODI ILE YA JUMA KASEJA ALIPOSAJILIWA NA YANGA MWAKA JUZI...HONGERA NGASSA NA KILA LA KHERI.


HABARI KAMILI KESHO NITAWAJUZA.....


Azam FC.jpg
Full nameAzzam United FC
Founded24 June 2007
GroundOld National Stadium
Dar es SalaamTanzania
(Capacity: 60.000 seat)
ChairmanAbubakar Bakhresa
CoachItamar Amorim
LeagueTanzanian Premier League
Azam United FC is a Tanzanian football club who playing in the Tanzanian Premier League. It's a team that got promotion into the Premier League for the first time ever on the last season 2008/2009.

No comments: