Friday, May 07, 2010

AAH JK & SHEIN WAKICHEZA KIDUKU!!!

Hebu cheki hapo kikwete na Jacob zuma walivyojikunja kucheza muziki,hii lazima itakuwa staili ya kiduku....kweli mkuu upo juu

Hapo juu Mh Shein akila za taratibu na mmoja na wageni wa forum miss Elsie Kanza.

No comments: