Mkurugenzi wa ASET Mama Asha Baraka alimkabidhi Ankali Muhidin Issa Michuzi cheti cha shukrani kwa kuweza kuitangaza vyema filamu yao mpya ya Lovely gamble na kulia ni mwenyekiti wa ASET Baraka Msilwa.
hii ilikuwa bilicanas
PICHA KWA HISANI YA BLOG YA MANKA AKA LADY JAYDEE
No comments:
Post a Comment