Wednesday, March 31, 2010

tiGO NA THUMUNI AKA NUSU SHILINGIBAADA YA VODACOM KUJA NA MAPINDUZI YA SH 1 KWA SEKUNDE ...tigo wamekuja na staili mpya ya nusu shilingi kwa masaa 20 kwa siku....duu hii noma

GREAT GUYS HII NI ZAWADI KWA WAPIGA KURA MWAKA HUU WAWEZE KULONGA LONGA NA KUFURAHIA MAWASILIANO AMBAYO YALIKUWA EXPENSIVE KAMA DHAHABU MIAKA MICHACHE NYUMA....

KWENYE PICHA NI AFISA HABARI WA TIGO JACKSON MMBANDO NA BWANA MASANJA WA KITENGO CHA MAUZO TIGO

No comments: