Monday, March 15, 2010

MNYAMA SIMBA SC BINGWA VPL 2010

JANA TIMU YA SIMBA SC ILITWAA UBINGWA WA LIGI YA VODACOM MWAKA 2010 NA KUWEKA HISTORIA YA KUCHUKUA UBINGWA HUO BILA YA KUFUNGWA HATA MECHI MOJA.

BIG UP WANA SIMBA KWAME,EDWIN MGOA,JOHN BUKUKU NA WENGINE WENGI......

No comments: