Wednesday, February 24, 2010

MBONGO ALA SHAVU LA WC 2010 OFFICIAL SONG...BINTI SARAFINA MSHINDO ALIYEWAHI KUSHIRIKI MASHINDANO YA BSS MWAKA JANA AMEPATA SHAVU LA KUSHIRIKI KATIKA WIMBO MAALUM KWA AJILI YA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA ULIOANDALIWA NA AKON NA MWANADADA KERI HILSON...

BIG UP SARAFINA...I HOPE THIS WILL HELP YOU TO PERSUE YOUR DREAMS.

No comments: