Friday, February 19, 2010

KILI MUSIC AWARDS 2010TUZO ZA MWAKA HUU ZA KILI ZIMEZINDULIWA JUZI KWENYE UKUMBI WA NEW LINE CINEMA...SWALI LA MSINGI LINABAKI JE MWAKA HUU MIZENGWE ILE ILIYOMFANYA MWANAFA ASUSIE TUZO HIZI ITAJIRUDIA???JE YALE MAUZAUZA YA TUZO YA COLLABO ALIOPEWA BUSHOKE BADALA YA JULIANA JE MWAKA HUU YATAREKEBISHWA???JE MABADILIKO YA KUWAWEKA DELOITTE KAMA WASIMAMIZI WA KURA YATASAIDIA KUPUNGUZA UPENDELEO WA KUPEANA TUZO ILI TU KUMSAIDIA MWANAMUZIKI KUUZA ALBAMU YAK VIZURI ITAISHA....

BADO MASWALI NI MENGI NITAWAHABARISHA SOON ON THIS COMING TUZO WADAU WANGU

No comments: