Sunday, January 24, 2010

UZINDUZI WA RED ALERT YA VODAFONE LEO


MDAU AKIPOZI MBELE YA BANGO LA MAELEKEZO...TUMA NENO RED ALERT KWENDA NAMBA 15599 KUCHANGIA AU NENO MAAFA KWENDA 15599 ILI UWEZE KUCHANGIA WATU WALIOPATWA NA MAAFA YA MAFURIKO...GHARAMA YA MESEJI MOJA NI SH 25O...LETS STAND AND HELP THESE PEOPLE IN NEED.JANE MPONZI NA MDAU WA BLOG HII MAC TEMBA WAKIPOZI NA MD WA VODACOM TANZANIA DIETLOF MARE LEO WAKATI WA KUZINDUA KAMPENI YA KUCHANGIA MAAFA.
MKUU WA VODACOM FOUNDATION MS MWAMVITA MAKAMBA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI YA RED ALERT.


MKURUGENZI MKUU WA VODACOM TANZANIA MR DIETLOF MARE AKIWA NA MKUU WA KITENGO CHA VODACOM FOUNDATION MS MWAMVITA MAKAMBA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI HII LEOKUANZIA KUSHOTO MKUU WA KITENGO CHA MASOKO BW MAFURU AKIWA NA MWAKILISHI WA OFISI WA WAZIRI MKUU KITENGO CHA MAAFA MEJA JENERALI BAKARI SHABANI NA KULIA NI MD WA VODACOM TANZANIA DIETLOF MARE WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUCHANGIA MAAFA YA RED ALERT LEO ASUBUHI.

No comments: