Friday, January 15, 2010

A MOMENT WITH MY MD IN SHARE N CAREHapo ilikuwa siku ya uzinduzi wa kampeni ya kusaidia watoto yatima Share & Care,pichani MD wa vodacom Dietlof Mare akipozi na mdau wa blog hii Mac Temba Jr,hapo kati ni Mkuu wa kitengo cha Hr wa Vodacom Mama Stella Kiwango.

No comments: