Tuesday, November 10, 2009

HIKI NDIO KILICHOMPONZA ELIZABETH IN BBA
Elizabeth Gupta alikuwa na nafasi kubwa sana katika shindano la BBA until last weeek alipoanza maneno yake ya kibaguzi...kuna wakati mmoja alinukuliwa akisema eti yeye anawapenda wanaume wazungu na wahindi...this comment makes most of africans vote her out of the house...its true that alikuwa na mvuto sana hasa pale alipoanza ukaribu na kijana wa naija Kelvin but that issue of last pia alianza mbwembwe na kijisia mara boyfriend wake yupo abroad,mara boifriend wake ni smart sana,sababu nyingine kubwa ambayo imehusishwa na ubaguzi ni pale alipompigia kura ya kumtoa pacha wake Edward kwenye jumba bila sababu ya msingi,alipoulizwa na Big brother alijibu kwamba hampendi tu...these are some reasons which makes africans vote her out of the house.

Anyway its a game Liz,enjoy your Life....

1 comment:

Mafia Kisiwani said...

kama alisema hivyo basi hana mpango wala nini na ndio maana nilikuwa simkubali huyu demu hana mpango wote sasa si aende India au ulaya,mal aya mkubwa huyo