Thursday, August 06, 2009

FM YAJA NA DVD YA UTAMU WA VANILLA!!!


Hii ndiyo Live DVD ya wana FM ACademia watoto wa mujini inayoitwa world No.0 Utamu wa Vanila itakayozinduliwa agosti 9 ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es salaam ambapo kutaporomoshwa bonge la burudani kutoka kwa vijana hao wataalam wa kupika chakula aina ya Zombo na Matembele jukwaani nyote mnakaribishwa kuona mambo yao makubwa na kujipatia hizo DVD


STORY BY:FULLSHANGWE BLOG NA MDAU JOHN BUKUKU

2 comments:

Anonymous said...

Mbona Jose Mara hatumuoni katk hiyo Cover Tunaona hao Wazaireeee tuuu

Anonymous said...

Tunaona wapaka Mkorogo hao wazaire Mtazania Mwenzetu Jose Mara Iko wapi?UBAGUZIIIIII HUUUU TATUNUNUI HIYOOOOOOOOOOOOOO VANILLA