Thursday, February 05, 2009

DA HUSTLA IBRA... IZ BACK AGAIN

Kijana Ibra aka Da Hustla aliyejitoa katika kundi la Nako 2 Nako soljaz ameachia track yake mpya hip hop akiwa na lebo ya Jazzy Recordz chini ya Producer Q...track hiyo imeweza kudhibitisha uwezo wake mkubwa katika sanaa hii ya Muziki...Big Up Ibra na people are waiting to hear mo from ya dawg!!!

No comments: