Monday, January 26, 2009

VODA SHARE & CARE @ CHAKUWAMA SINZAYesaya mwakifulefule wa Vodacom Foundation akiwa na mdau wa blog hii Mac Temba aliyembeba mtoto, pembeni ni mwakilishi wa Vodafone Uk Mr Bob Collymore wakiwa kwenye kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA Sinza,hii ilikuwa wakati wa kampeni ya Share & care

No comments: