Tuesday, September 02, 2008

ZENJI WAPO JUU!!!

TAKE IT!!!

Mdau mwenzetu katembelea zenji na kukuta tangazo hili mlangoni...TAFADHALI USINIKERE!!! Ebwna ndio kweli wenzetu wa zenji wanapenda utamaduni wao na kukienzi kiswahili chetu alllah!!! Big Up

No comments: