Friday, September 26, 2008

SWALI UNAMJUA MWANASIASA HUYU????

Hii wadau mnaionaje??? Ni tamaa,uroho au kweli ni mwajibikaji???Sasa vyeo vyote hivi atawezaje kufanya majukumu yote hayo???Duuu hatari sana wanasiasa wetu wanapenda kujirimbikizia madaraka mengi sana....Nini maoni yako wewe?
Katuni kwa hisani ya: King Kinya

1 comment:

Anonymous said...

huyu si mwingine bali ni mamaa sophia simba a.k.a mroho wa madaraka na mpenda masifa we vyeo vyote hivyo