Thursday, September 25, 2008

HATIMAE UKOMBOZI UNAKUJA!!!
Hatimae wale wananchi wa nchi ya KIGAMBONI karibia watapata ahueni baada ya kivuko hiki kipya kuanza kazi mwishoni mwa mwaka huu.Kivuko hiki kikubwa kinategemewa kutoa msaada mkubwa kwa wananchi wa nchi ile iliyosahaulika kwa muda mrefu....Hongereni Watendaji wa Nchi hiyo!!!

No comments: