

Huyu ni Chid beenz kiongozi wa Kundi la La Familia la Ilala,akiwakilisha katika show ya Shaggy ijumaa pale Leaders Club...Nilichopenda sana kwake ni moyo wa Upendo kwa kuvaa T-shirt hiyo yenye maneno makali na ya majonzi "i miss u bro"its true we miss Top aka Tid ...nakumbuka kitendo kamahiki alikuwa anakifanya msanii 50 Cents wakati swahiba wake Tony yayo alivyokuwa jela aliwahi kutokea kwenye Mtv Awards na T-shirt iliyoandikwa "FREE YAYO" ITS MY MTAZAMO THAT CHID BEENZ IS SO CREATIVE!!! BIG UP CHID...U SHOW LOVE!!!
No comments:
Post a Comment