Friday, July 18, 2008

DANCE OF LOVE...U REALLY LOOKS MARVELOUS

Mmh Kaka Gwello akiwa anacheza na mke wake kipenzi Jaquline katika sherehe yao ya harusi iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond jubilee VIP hall...Mungu wabariki sana.

5 comments:

Anonymous said...

They are looking hot

Anonymous said...

hivi huyo ni Abdul aliyesoma tambaza???

Mac Temba said...

Ebwana ndio huyo Abdul Gwello aka Awareness

Mac Temba said...

They are hot like ....wapo juu sana thats love hommiez

by waukweli said...

Wako hot mbaya,Niliwaona kwenye harusiyangu.com.Mungu awabariki sana.