Monday, April 21, 2008

SHAME BUILDINGS AKA BOT TWIN TOWERS!!!

Ebwana wana blog hii kwa taarifa yako haya majengo ndio yamefanya maisha ya watanzania yawe magumu sana,yamesababisha mtikisiko wa uchumi,nchi na serikali kuyumba pia Yamewapa baadhi ya watanzania kiburi na jeuri baada ya kupata mihela toka katika majengo haya...Zamani enzi za Mwl Nyerere majengo haya yalikuwa kama Ikulu kwa maana kuwa yalikuwa ni majengo ambayo watanzania wote waliamini kuwa Uchumi na pesa zao zinatunzwa vizuri lakini miaka hii ya karibuni majengo haya yamekuwa majengo ya aibu (Shame Towers)...its so sad to believe that Tanzanians Taxes makes few people Rich and Powerful.

No comments: