Wednesday, April 02, 2008

NO LIMIT ENTERTAINMENT BRINGS AFRO -JAZZ SHOW!!!

Mkurugenzi wa Kampuni ya No limit Entertainment Tayanna Tibenda akiongea na waandishi wa habari katka mgahawa wa City Garden kuhusiana na show kubwa ya Afro-Jazz inayokuja wiki ijayo,Kushoto ni mwakilishi wa bia ya Ndovu ambao ni wadhamini na wa kulia ni mwakilishi wa ubalozi wa Norway...BIg up No Limit Entertainment

No comments: