Wednesday, April 23, 2008

THE BREW MASTER IN DUBAI

Hey blog fans hii picha nimetumiwa toka Umangani,huyu jamaa ni brew master aliyekutwa akijiburudisha na biere aka Beer aka Monde baada ya kazi nyingi za siku...Ebwana huyu jamaa alikuwa na kiu cha kufa mtu sio utani jamaa anapenda kujiachia kihivi...Nomaaaa!!!

1 comment:

Anonymous said...

Siyo kila nchi ya kiarabu ni umangani, umangani ni Oman na wamanga ni waOman. Kwa hiyo Dubai si umangani.