
Wakati akiomba kura achaguliwe anakuwa makini na mtaratibu na mwenye kujua njia za utatuzi wa matatizo na kuahidi kuleta maendeleo kwa nguvu zake zote,ila akipa madaraka anakuja tena kwa wapiga kura wake na kuwaomba eti wajiletee maendeleo...Siasa ni mchezo mchafu sana!!!
No comments:
Post a Comment