Sunday, March 30, 2008

MZEE MAKAMBA AKIWASILI BUTIAMA!!!

Katibu mkuu wa Ccm Kanali Msaafu Yusufu Makamba akishuka kwenye Vx lake kijijini Butiama tayari kwa mkutano mkuu wa CCM...Kumbe mzee Makamba ana pozi za ki model...Big Up Makamba.

No comments: