Thursday, March 27, 2008

KWANI ETI BOT ILIVUNJWA???

Katuni hii inafundisha kitu gani???jibu lake ni Suala la BOT ni kama kiini macho maana wizi umefanyika ndani na waliokwiba ni watu wa ndani ya BOT ...Sasa kutuambia mnachunguza sisi hatuelewi na mnatuchanganya!!!! Tupunguzie bei ya umeme hapo mtatufurahisha na sio kutupa ripoti hewa eti Mabilioni yameanza kurudishwa.

No comments: