Friday, March 28, 2008

JE UNAMJUA MZEE HUYU???NI BINGWA WA SALAAM RADIONI TANGU MWAKA 1954-RTD

Ebwana huyu anaitwa Mzee Zakaria Ndemfoo wa mkoani Arusha (Babati) ndio anashikiria rekodi ya bingwa wa kutuma salaam redioni tangu enzi za ukoloni Radio Tanzania RTD mwaka 1954,Mpaka juzi kwenye uzinduzi wa TBC Rais Kikwete alimtunuku zawadi ya Bingwa wa kutuma Salaam Tanzania...Big up Mzee Ndemfoo kumbe mtindo wa kurushana redioni umeanza kitambo!!!

No comments: