Friday, March 28, 2008

DO U REMEMBER THIZ DAYZ... MAPACHA IN DOWNTOWN RECORDZ

Ebwana hii ilikuwa mishemishe za utengenezaji wa video ya Mapacha "50 50 Nipe changu nikipe" ucipimie kabisa hapo wapo mapacha(Kulwa na Dotto),Pablo aka Bekka....ilikuwa mzuka sana enzi hizo...acha kabisa mwana thats dayz really Mapacha showed skills n technics and take hip hop to next level...mzuks mwingi sana charlie angu!!!

No comments: