Wednesday, March 26, 2008

AAAH KIPANYA KAMA NI HIVI...HATARI

Kama Kijana huyu ndio anafuata busara za mzee wake hivi ni hatari na mwisho wake atapotea!!!Kama kweli CCM wanataka Busara za Mwl Nyerere itabidi wajipange na kujisafisha kabla ya kutegemea busara za Mzee Nyerere.

No comments: