Ni kama miezi miwili imepita tangu Msanii mahiri Khaleed Mohamed aka Tid ahukumiwe kwenda jela,habari za chini chini zinasema kuna timu imeundwa kusaidia kumtoa kijana huyu mburudishaji ili asiendelee kupata shida za jela maana jela sio mahala pazuri...Mungu aweze kubariki yote ili Tid aweze kutoka mapema,naamini atakuwa amejifunza na ameelewa kuwa magomvi sio kitu poa...I believe everyone deserve a second chance so tumpe muda na atajirekebisha...LETS STAND & RESCUE TID
Simple,fun likes likes friends who are real,no time for beefs...Napenda sana muziki na kupenda sana kucheza na watoto hasa watoto yatima so that they can feel that the society loves them...Pamoja we can make some changes,So i invite you all to enjoy all in this hottest blog.
No comments:
Post a Comment