Wadau wa Timu ya Azam FC (Yusuf S.Bakhressa) anayeongea na simu na viongozi watendaji wa timu hiyo wakifuatilia kwa karibu mchezo wa Timu yao na Toto Africa SC ya mwanza wiki iliyopita...Hongereni sana Azam kwa kuleta Changamoto!!!
Basi la kifahari la Timu ya Azam FC likiwa limepaki katika uwanja wa Taifa likiwasubiri wachezaji wamalize mechi....Timu zetu kubwa Simba na Yanga wanajifunza nini kwa Azam Football Club????Nipe maoni yako mdau
Beki mahiri wa timu ya Azam FC Boniface Pawasa aka Janker akitolewa uwanjani baada ya kuumia kwenye mechi kati ya Timu yake ya Azam Fc na Toto Africa ya Mwanza,beki huyu ndio aliyeisaidia Timu ya Simba kufika robo fainali mwaka juzi kwa kuitoa timu ya Zamalek ya Misri...
Simple,fun likes likes friends who are real,no time for beefs...Napenda sana muziki na kupenda sana kucheza na watoto hasa watoto yatima so that they can feel that the society loves them...Pamoja we can make some changes,So i invite you all to enjoy all in this hottest blog.
No comments:
Post a Comment